SHUKRANI Kwanza kabisa, kabla sijasema neno lolote, napenda nitoe shukrani zangu zisizo na ukomo kwa Mwenyezi Mungu, kwa sababu, Yeye, ndiye Mkuu; na anayepaswa kushukuriwa kwa hatua yoyote ya maisha ya mwanadamu. Ninamshukuru kwa kunijaalia afya njema, kunipa nguvu, uwezo, akili, busara na maarifakatika kipindi chote cha masomo yangu ya uzamili....
Continue Reading